AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Unaambiwa Ray C sasa ni chuma cha Reli Amerudi katika hali yake ya kawaida kabisa baada ya kukaa Sober House kwa ajili ya tatizo la dawa za kulevya....Ray c kwasasa ameanza kutumia mtandap wake wa Instagram baada ya kuacha muda mrefu, mmiliki wa kituo hicho Nuru kayaongea haya kuhusiana na post mpya za msanii huyo kwenye mtandao wa instagram na mengineyo
Ray C mpaka sasa hivi anaendelea vizuri na kuhusiana na zile post zake kwenye instagram yeye ndio anahusika kuzipost kwani amerudi katika hali yake ya kawaida na vitu anavyopost ni kuhusiana na hali yake kwahiyo maendeleo yake sio mabaya’
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
yetu macho kwa kweli.
ReplyDeletehuyo inabidi akae huko mwaka mzima na akitoka amrudie mungu kama mzee yusufu.
ReplyDelete