Prof. Lipumba Adai Yeye Bado ni Mwenyekiti wa CUF Baada ya Kutengua Maamuzi ya Kujiuzulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Prof. Lipumba amesema yeye bado ni Mwenyekiti wa CUF na alishatengua maamuzi ya kujiuzulu, hakitambui kikao kilichokaa Zanzibar na kusitisha uanachama wake.

Amesema kuwa Katibu Mkuu asipotaja tarehe ya yeye kurejea kazini kama Mwenyekiti, atasubiri barua ya Msajili wa Vyama ili aanze kazi tena kama Mwenyekiti wa Taifa wa CUF.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bundi mwingine huyu
    Waafrica hatuto endelea kamwe
    Hatupendi mabaliko
    CUF mlichelesha kumfukuza huyu
    CCM hongereni kwa kazi yenu
    Watanzania tushuhudia na kuona mengi

    ReplyDelete
  2. Bundi mwingine huyu
    Waafrica hatuto endelea kamwe
    Hatupendi mabaliko
    CUF mlichelesha kumfukuza huyu
    CCM hongereni kwa kazi yenu
    Watanzania tushuhudia na kuona mengi

    ReplyDelete
    Replies
    1. una ufinyu wa uelewa hadi unatia huruma, kajitafakari kwanza kabla ya kuandika upuuzi wako mfyuuuu

      Delete
  3. CCM wamehusikaje mbona mnawaonea sana. Lowassa n company walikuja CDM tukawapokea mbona hiyo ilionekana sawa tu. Yaani mtu akihama CCM kwenda upinzani but mtu wa upinzan akivurunda huko lawama ziende CCM hii sio poa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. pumbavu wewe na mama yako aliyekuzaa bila kujua nani kampa minba

      Delete

Top Post Ad