UKUTA Wazidi Kuvunjika Hata Kabla ya Tarehe 1 Septemba, Katibu wa Chadema Ajiuzulu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza John Thobius Nzwalile amejiuzulu nafasi zake ndani ya chama hicho na kuhamia CCM kutokana na kukerwa na oparesheni UKUTA ambayo imelenga kuleta vurugu nchini. Amenukuliwa akisema "Nimejaribu sana kuwaonya wenzangu kuchana na huo ujinga lakini hawasikii"
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kafie mbele na unafiki wako,umetimiza wajibu wako wa kidemokrasia wakwenda chama utakacho.hakuzuii mtu lkn usiseme ukuta ni ujinga..pumbavuuu

    ReplyDelete
  2. Hukuwa na nia. Mwenye nia na moyo tu anaelewa. Kwaheri. Lakini kunasiku utakuja kujua .

    ReplyDelete
  3. Asante Mungu.Hakuna maandamano ya AMANI ikiwa watu mnataja neno DIKTETA,mkiiamini kuna udikteta TZ na kwamba kuandamana kwenu kutasadia kuungoa u-dikteta,hapo ni dhahiri shahiri hasira na chuki vitatawala.Wapenda AMANI tumo makanisani/misikitini tunaomba,na Mungu wetu asiyependa mafarakano kamwe hatashindwa kuzuia hili.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimeipenda sana hii mdau na Mungu akubariki na wewe.

      Delete
  4. MUNGU WETU ANAJUA SIRI YA KUKUPA ROHO HIYO YA KUUKANA UKUTA,JINA LAKE LIHIMIDIWE.

    ReplyDelete
  5. UKUTA LENGO LAKE NI KUWAVUNJA MOYO WANANCHI AMBAO TAYARI TUMEANZA KUMUAMINI JPJM NA MAWAZIRI WAKE.TUNAKEMEA KWA JINA LA YESU,NA WOTE WENYE NIA HIYO WATAMKA WAMEPOOZA MIGUU YAO,MACHO YAO YAKAONE CHECHE.

    ReplyDelete
  6. GOD BLESS TANZANIA.

    ReplyDelete
  7. Aaaamen na bado wataangushwa kama UKUTA wa Babel.

    ReplyDelete
  8. ni jukuku lenu kusali ni mgawanyo wa majukumu.kila na majukumu yake

    ReplyDelete
  9. Bora wewe umeliona hilo.
    Mungu akubariki sana.

    ReplyDelete

Top Post Ad