Taarifa ya Polisi Dar kuhusu wanaojihusisha na ‘UKUTA’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Licha ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kutangaza kufanya maandamano ya nchi nzima Septembe 1 2016, Jeshi la Polisi kanda maalum Dar es salaam limemkamata mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Yoram Mbyellah kwa kupatikana na kuuza sare aina ya fulana zenye maneno yanayodaiwa kuwa ni yakichochezi zikiwa na alama ya CHADEMA huku nyingine zikiwa na maneno ‘UKUTA’

Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amesema…>>>’August 20 2016 Jeshi la Polisi lilipata taarifa toka kwa raia wema kuwa maeneo ya Kinondoni kuna duka linauza flana zenye maneno ya uchochezi yaliyoandikwa ‘’TUJIPANGE TUKATAE UDIKITETA UCHWARA’’ , ‘UKUTA’ ‘

‘Aidha Polisi baada ya kupata taarifa hizo walifika eneo la tukio na kumkamata mtuhumiwa aitwaye YORAM SETHY MBYELLAH miaka 42, mfanyabiashara na mkazi wa Mburahati akiwa anauza fulana hizo dukani kwake‘ –Kamanda Sirro

‘Ili tuishi kwa amani ni lazima tutii sheria na kama hutaki kutii sheria tutashughulika naye, Kama kuna mtu anataka kuvunja amani katika mkoa wetu ajue kabisa hatoweza na niseme tu kwamba kama wanataka kujenga ukuta wajenge ukuta mwingine maana huu umeshadondoka‘ –Kamanda Sirro

‘Na wapo watu wanasema kwanini tunafanya mazoezi, nikwamba Jeshi la Polisi ni kawaida kufanya hivyo na muhimu watu wajue hiyo September 1 hakutakuwa na maandamano ya aina yoyote kwahiyo watu wasiwe na hofu bali wachape kazi‘ –Kamanda Sirro
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nasikia kuharisha
    Polisi wazima walisomea wapi sheria
    Fyuu vyeti feki
    Kamanda mzima kunadi fulana za ukuta

    Kweli zero zero
    Mmetunadishia fulana zetu
    Hongera
    Ukuta tukutane 1.09.2016
    CNN
    BBC
    DW
    Wapo kutoa live
    Dunia nzima itazame

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNADHANI UKUTA NDIO ITAMTOA MAGU MADARAKANI??MJINGA WA KUNYWA MAJI YA MTARO WEWE

      Delete
  2. MANGAPI YAMEONWA DUNIA NZIMA NA HAKUNA KILICHO BADIKIKA,,,,,HATAKAMA UKUTA UTAONWA DUNIA NZIMA HAKUMA MABADILIKO MAGUFULI NI YULEYULE NA ATAENDELEA KUWA MAGU MPAKA 2020,,,,MLIZOEA SANA VYA MTEREMKO HAPO NDIO KIBOKO YENU,,,,WAKINA MBOE WANA BIASHARA HARAMU CHINI YA KIVULI CHA CHAMA ZIMEBANWA MASILAHI YANA PUNGUA,,,,MNALETA UKUTA LETE HATA MILIMA NA MIAMBA BADO JEMBE HALI TETEREKI POLENI.

    ReplyDelete
  3. Sasa kupinga Udikteta uchwara nayo ni uchochezi? Mbwa kabisa nyinyi, wala hamjui wajibu wenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. msenge wewe achana na siasa na maji taka, jamaa kawabana kila kona mnajifanya eti udikteta uchwala, pumbavu sana wewe kilaza

      Delete
  4. Kamanda siro tunakutegemea na imani hakuna mtu ataleta ujinga wa mambo yao ya ukuta wafanyabiashara umetupa moyo tufanye kazi bila uoga wowote wa maandamano ya ukuta mungu akuzidishie ujasiri nchi iendelee kuwa na amani na upendo magufuli oyeeeeeee

    ReplyDelete
  5. UKUTA KITU GANI,SHWAINI NYIE

    ReplyDelete
  6. Ninja masikio wote hao ukuta maana hakuna namna

    ReplyDelete

Top Post Ad