Shilole Asema Chupu Chup Awe Salome Kwenye Video ya Diamond...Adai Ingepata Views Mil 2 Ndani ya Siku Mbili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sio kweli

    Haya mambo huenda na nyota. Nyota ya Mabeto na Mond ndo zimeshabihiana katika kazi hii na kusababisha views maelfu.

    ReplyDelete
  2. Alaaaa... Baada ya Wema kukatta dili ya mil 50.. Wewe ulikubali kwa kutaka viewer na siyo ngwenje.. Dili yako ilikuwa ya elfu ngapi?

    ReplyDelete
  3. "Zalula" (dharura)
    "Hangekuwa"(angekuwa)

    ReplyDelete

Top Post Ad