AliKiba: Walioshinda tuzo za MTV Mama Awards 2016 wamestahili kushinda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mkali wa wimbo ‘Aje’ AliKiba amefunguka na kuzungumzia ushiriki wa watanzania kwenye tuzo za MTV Mama Awards 2016.

Muimbaji huyo ambaye alikuwa miongoni kati ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tuzo hizo na pia aliwania tuzo ya ‘Best Collaboration’ ya wimbo wa Unconditionally Bae alioshirikiana na Sauti Sol, amesema watanzania walijitahidi lakini walizidiwa na wasanii wa nje ndiyo maana wakashindwa kutamba.

“Katika ushindani kuna kushinda na kushindwa sisi hatusemi kuwa tumeshindwa na naamini Tanzania ina vipaji sana na kila msanii anajitahidi kufanya kwa uwezo wake ili aweze kufikisha nchi yetu sehemu nzuri,” AliKiba alikiambia kipindi cha Clouds 360. “Kwasasa muziki wetu umekuwa kwa kasi sana na unazidi kutanuka. Kwa washindi ambao wameshinda kwenye tuzo za ‘MTV Mama Awards’ wanastaili kwasababu kazi wamefanya na tumeziona”

Katika hatua nyingine muimbaji huyo amewataka mashabiki wa muziki wake kukaa makao wa kula kwa ajili ya ujio wa kolabo yake mpya yakimataifa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivyo ndivyo inavyotakiwa iwe ukushindwa unakubali na kujiuliza ni kwa nini nimeshindwa ili kesho ujirekebishe na kuongeza bidii katika kazi yako na siyo kulalamika hovyo kama mwanamke malaya"BIG UP ALI KIBA"

    ReplyDelete
  2. BIG UPPPP KING KIBAAAA!!!

    ReplyDelete
  3. thats good king kiba i really admire your guts keep it up you are gentleman

    ReplyDelete

Top Post Ad