AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Wawili hao wameonekana kutokuwa na tatizo baada ya madam Sepenga kuweka picha ya Aunty akiwa na mwanae Cookie aliyezaa na dansa wa Diamond, Mose Iyobo kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe ambao umeonekana kutoa watu machozi.
Wema ameandika kwenye mtandao huo:
My Picture of the day…!!! This is tooo Cute…. Mola akukuuzie Cookie wako Tiake…. #Priceless 😍😍😍 Dah… Iko siku na mimi Inshallah…. Hii pic imenitoa hadi chozi…. You are sooo blessed mumy… @auntyezekiel @auntyezekiel
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
AKAH!NYIE WAANDISHI WA HABARI NDIO MNAPANDIKIZA CHUKI KWA WAWILI HAWA,MAANA KILA MLILOKUWA MNALIONA MNAANDIKA,MARA OOH WEMA NA UNTIE WAMECHUNIANA,MARA NININI SASA LIMEWASHUKA.
ReplyDeleteMTOTO MZURI SANA.UNTIE USIMUWEKE DAWA ZA NYWELE MTOTO,HATA KAMA WANASEMA NI DAWA ZA KITOTO.PLEASE!
ReplyDeleteAllahummah Bariki
ReplyDelete