Aunty Lulu Awachana Mr Bond na Wastara...Adai Alimuokota Mr Bond Jalalani na Kumlea

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Bifu Jipya mjini.....Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Mr Bond Aunty Lulu ameibuka pasipo julikana na kuanza kuwashambulia kwa maneno Mr Bond na Mpenzi wake Wastara...

Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:

Auntylulukimwana
"Nilikuokota jalalani mbwa wewe hujui hata kuvaa..ulikuja kwangu umevaa suruali kama alusi mabele au kanda bongoman wa zamani..ukaishi kwangu hata kazi huna mbwa wewe nikakutafutia mwenyewe channel 10..tena nikakuasa usije kuniacha..maana wakikuona watakutaka ukasema hatuwez kuachana...umepata kazi kwa mgongo wangu mwenzangu ukadindisha na kuwapa mti baadhi ya mastar(siwataji japo nawajua)na huyo ngedere wako kwa ujane akaamua kuwa wako..kumbuka mm ndo nilikupa taarifa ya kifo cha mumewe,,,alfajiri tumepata taarifa tulikuwa tumelala..we si ndo uliniomba turudiane ulivyoachwa akaenda kwa mbunge?nilikataa kwa kuwa nna mtu tayari!!leo hii kakurudia..utaishia hvyohvyo kukimbiwa ngoja atokee mkubwa zaidi ya mbunge yakukute..na usirudi hapa" Amendika Aunty Lulu

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. duuh ustaa as bongo ni mzigo. Chumba kama danguroo eti staa. by the way next time piga picha mzingira mazur na pia vyaa nguo nzuri usioneshe hiyo minyama uzembe.

    ReplyDelete
  2. Roho bado inakuuma ulipomtoa na alipo mpaka akakumwaga.....endelea na Maisha yako ukiona Mwanamke au mwanaume wanamfuata fuata x wake kwa maneno ya hapa na pale nikwamba bado anatamani mahusiano ya endelee,,,,potezea tu fanya kama kafa vile.

    ReplyDelete

Top Post Ad