AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ameandika haya kwenye ukurasa wake wa Instagram:
Auntylulukimwana
"Nilikuokota jalalani mbwa wewe hujui hata kuvaa..ulikuja kwangu umevaa suruali kama alusi mabele au kanda bongoman wa zamani..ukaishi kwangu hata kazi huna mbwa wewe nikakutafutia mwenyewe channel 10..tena nikakuasa usije kuniacha..maana wakikuona watakutaka ukasema hatuwez kuachana...umepata kazi kwa mgongo wangu mwenzangu ukadindisha na kuwapa mti baadhi ya mastar(siwataji japo nawajua)na huyo ngedere wako kwa ujane akaamua kuwa wako..kumbuka mm ndo nilikupa taarifa ya kifo cha mumewe,,,alfajiri tumepata taarifa tulikuwa tumelala..we si ndo uliniomba turudiane ulivyoachwa akaenda kwa mbunge?nilikataa kwa kuwa nna mtu tayari!!leo hii kakurudia..utaishia hvyohvyo kukimbiwa ngoja atokee mkubwa zaidi ya mbunge yakukute..na usirudi hapa" Amendika Aunty Lulu
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
duuh ustaa as bongo ni mzigo. Chumba kama danguroo eti staa. by the way next time piga picha mzingira mazur na pia vyaa nguo nzuri usioneshe hiyo minyama uzembe.
ReplyDeleteRoho bado inakuuma ulipomtoa na alipo mpaka akakumwaga.....endelea na Maisha yako ukiona Mwanamke au mwanaume wanamfuata fuata x wake kwa maneno ya hapa na pale nikwamba bado anatamani mahusiano ya endelee,,,,potezea tu fanya kama kafa vile.
ReplyDelete