AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Diamond katika nyimbo ana sauti nzuri yenye base kidogo. Ila huyu jamaa sielewi kwanini akiimba live sauti inakua ingine kabisa yaani mbaya, mbona kina ben paul, banana, kiba king, rayvanny harmonise bela etc wakiimba live sauti inakua ile ile. au kuna ka application kwenye playstore anachokitumia kufanya sauti iwe nzuri studio.
Pia nafikiri sasa diamond aachie kina iyobo kucheza awapo jukwaani yeye afanye kazi moja tu ya kuimba, asijifanye michael jackson, na hii sasa ndo imekuwa weakness ya diamond ambapo mpinzani wake kiba anamfunikia.
Namshauri atafute mwalimu wa sauti na mziki wa live, vinginevyo hatutamuelewa . sauti ya jukwaani cjui ndo yake maana huwa mbaya, na akishindwa kabisa basi bana hata pua bwana
Kwaheri
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hahahha ukweli mweupe ni kwamba bwana mdogo ni mfanya biashara sio msanii ukizungumzia wasanii ni barnaba boy banana zoro enika jide kiba mzee wa masauti xstian bela n the few wengine ni bana pua mwanzo mwisho...
ReplyDeleteUpuuzi kabisa diamond yuko juu.hao uliotaja wako wapi sasa hivi wengine wanaimbia temeke mikoroshini acha kufananisha diamond na mfano wa wanamziki
Deletehahaha kazi kweli semeni sana Mondi piga kazi!!!
ReplyDeleteUumetumwa? Rudi ukawaambie Mondi kaenda South kucheki mjengo wake
ReplyDeleteMuache wivu, diamond tangia aanze kuimba hafanyagi mistake akitoa nyimbo razime iwe top, huyo habahatishi ana kipaji cha ukweli, acheni unafiki na kizuri mkisifie
ReplyDelete