AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Mahakama ya Wilaya Ilala jijini Dar es Salaam leo imemfutia shtaka la unyang’anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete maarufu kwa jina la Scorpion baada ya upande wa mashtaka kuomba shtaka hilo liondolewe mahakamani hapo kwa sababu hawana nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Mtuhumiwa huyo ambaye ni mkazi wa Buguruni kwa Mnyamani anatuhumiwa kumchoma visu na kisha kumtoboa macho, Said Ally mkazi wa Mabibo Hostel hivi karibuni.
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
Waandishi wa habari wapuuzi wasiojua kitu mnajazana katika ofisi zenu ku-pass time tu eti nafanya kazi kama muandishi wa habari giza tupu kudadeki
ReplyDeleteUdaku tu ndio wanaweza hawana jipya
ReplyDeleteYaani huyo mtu kaachiwa?
ReplyDeleteNI BORA MUACHE KUANDIKA HABARI ZA UWONGO NYINYI UDAKUSPECIALLY
ReplyDelete