Mariah Carey Anataka Alipwa Mamilioni na ex Wake Bilionea Baada ya Kupigwa Chini

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mariah Carey anaweza kubaki na pete ya dola
milioni 10 aliyovishwa na mchumba wake James
Packer waliyeachana. Lakini hiyo haitoshi,
muimbaji anataka zaidi.

Wawili hao waliachana baada ya kuzuka ugomvi
walipokuwa wakila bata kwenye yacht nchini
Ugiriki mwezi September kufuatia tetesi kuwa
diva huyo anachepuka na dancer wake, Bryan
Tanaka.
Kwa mujibu wa ripoti, Carey anataka alipwe dola
milioni 50 kutoka kwa Packer baada ya
kumhamishia LA na anadai kuwa ameathirika na
kuachana kwao kiasi cha kukatisha ziara yake
ya Amerika Kusini.
Hata hivyo vyanzo vilivyo karibu na bilionea huyo
vimedai kuwa Carey asahau kupewa hata senti.
“Ni ujinga kudai kuwa James ni sababu ya
kusitisha ziara yake ya Amerika Kusini. Siku
chache zilizopita aliwalaumu mapromota,”
kilisema chanzo.
Sababu kubwa inayoelezwa kuwa chanzo cha
wawili hao kuachana ni usaliti wa Carey na
matumizi makubwa ya fedha. Wawakilishi wa
muimbaji huyo wanakanusha
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo lake huyu mwanamke anapenda ana tamaa kupita kiasi hakuna mwanamme yeyeote yule atakayemvumilia atakuwa anapigwa danadana na wanaume kama cha ndimu"TABIA NZURI MATTERS A LOT"

    ReplyDelete

Top Post Ad