AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Baada ya kutupia hiyo picha kwenye page yake hivi ndivyo watu walivyofunguka...
suzan.ndama
Kikwell mim huyu dada toka kaanzakufahamika sana cjawah kupendezewa na mavaz yake
sofia_omary78
Kajifanya mjuaji kaharibu sasa ivyo ndo nini seemu yenye heshima Zake watu na misuti yao wewe unatuvalia kibkita kama uko kwenye singeli anawezekana hii safari ya kushitukiza hajajipanga igweeeeeee
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
akina Beyonce wanaimba na vichupi kwenye Grammy Awards halafu nyie mnalalamika eti Shilole kaenda na kaprtura ngoja niwakumbushe hii ni miaka ya 2016 so acheni ushamba wabongo mbona mko nyuma saana
ReplyDeleteTatizo la hapa kwetu mastar hawana watu maalum wakuwashauri wanapotaka kwenda kwenye presentetion tofauti na chi zilizoendelea
ReplyDeletesiyo Beyonce tu anaimba na vichupi kwenye Grammy Awards na Lady Gaga anaimbaga na vichupi
ReplyDeleteAKIVAA CHUPI PIA MUTALALAMIKA ,MWACHENI AENDE HATA NA KANGA KIUNONI.MWILI WAKE AMEAMUA
ReplyDeleteSEMA UTAFIKIRI ANATOKA KUCHEZA TENNIS
ReplyDeleteSo stupid&ss yy alikuwa anaimba? Red capet,kachemuka!!😆😆😆
ReplyDelete