Ukweli Kuhusu Degree ya Miss Tanzania Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hii Video ya Miss Tanzania. Kipindi ambapo anatafutwa miss kinondoni. Ni kweli alisema ana miaka 18 lakin hakusema kuwa ana degree. Zaid alichosema ni kuwa yeye ni Applicant wa IFM. Sasa sijajua hiz rumors zinatoka wapi. Please cheki hii video kuanzia dk ya 8.

Miss kinondoni 2016.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kingereza sio Lugha yetu na wabongobwalisha kuwa wamempanga miss waovwanao mtaka....Ukifuatikia jinsi alivyo jieleza anastahili kuwa miss Tanzania...Tatizo watu wanataka ma miss wenye Matako makubwa weupe ndio wanafikiri urembo....

    ReplyDelete
  2. huyu anafaa na hakuna aliekua anafaa kati yawalioshirik

    ReplyDelete

Top Post Ad