Msanii Nisha Bebee Atoa Machozi na Kusema Haya Kwa Uchungu Kuhusu Maisha yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"UNAJUA KINACHOUA UZURI WNG?? NI MACHOZI YANITOKAYO KILA SIKU.
naweza kwenda popote,naweza nunua chchte nnachotaka.. M'Mungu kanibariki neema zote kubwa na ndogo.. kitu pekee ambacho sina ni AMANI YA MOYO WANGU" by #nishabebe

MTAZAME HAPA:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe unalialia nini sisi tunachoshindwa kukielewa na wala hatutaweza kukielewa kama hukutaka mtoto kwa nini hukutoa mimba mapema sababu sasa hivi kuna njia salama za kutoa mimba kama kweli ulibakwa, ni uwamuzi wako mwenyewe umeamua kulea mimba hamna amekulazimisha sasa hivi unalia lia hovyo kwenye mitandao hamna anayekuonea huruma ila unatutia hasira sababu tumekuchoka kila siku mitandaoni kaa kimya hatutaki kuona ujinga wako yaani akili ya kitoto mtu mzima hawezi kulialia hovyo kwa ujinga Wake mwenyewe halafu unaitwa kioo cha jamii, pumbavu wewe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Uliyataka mwenyewe sasa huna budi kuvumilia

      Delete
    2. Uliyataka mwenyewe sasa huna budi kuvumilia

      Delete
  2. Njoo kwangu mtoto mzruri nikupetipeti utakua na amani moyoni

    ReplyDelete
  3. Ama kweli kichaa cha mimba kinakaribia kumpata huyu dada khaaa hv mwenye uchungu anaweza kushika na simu akajirekodi kabisaa huku analia we una huzuni au shobo dundoo...mixeewww unachefua wallah hebu lea mimba bibi jikaze ujifungue...tutolee moods za kijinga..utadhan we ndo wa kwanza kubeba mimba...lakn sikulaumu sana ni hormone hizo zinakupelekesha sahv wanawake tuna kazi jamn mi wakati wa mimba kuna kipindi ilifika sitaki kuchana nywele naenda kazin na mabutu kabisaa mume wangu alinivumilia hakika akiniambia nichane nywele hayo matusi nayotoa baba wa watu kimyaa...mpka najifungua ananiangalia haamin...ananiambia ulinipa tabu mke wangu...acha tu huyu mtoto nimpende..so hv ni vimbwanga vya mimba tu...ukishajifungua utakaa sawa..mami pole kwa kichambo cha mwanzo...😊

    ReplyDelete
  4. una uzuri gani ww mpemba weupe tu unakusaidia huna lolote tatizo huo ustaa wenu unawazuzua mbona poleni dunia itawaumbua sana na bado eti mnaiga umarekani

    ReplyDelete

Top Post Ad