STEVE Nyerere Amponda Erick Omondi, Adai Watanzania Wanaomkubali ni Wajinga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama huyo kuwa ni mchekeshaji 
VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Steve unatafuta kiki za kibwege humpati Eric hata ulale uchi ukizikiri Makaburini fanya kazi acha ushambaaa

    ReplyDelete
  2. Wewe Steve nyerere tumia jina lako halisi acha kucopy majina ya watu kwanza huna lolote unalolifanya sio kwenye siasa wala muvi wewe ndio mjinga.

    ReplyDelete
  3. Kiki yako unaitafuta vbya mjinga niww mkeo na wanao usitukane watu...alaaaa

    ReplyDelete
  4. Brother tutake radhi sana watanzania sio wajinga ila mjinga ni wewe na umedhihirisha kichwa chako ni nazi uliposema eti humjui erick omondi..realy in short hueleweki upo bongo movie, unafanya siasa au comedy yaani unabahatisha bahatisha tu and for the record wewe unaigiza viongozi sauti zao ili uchekeshe lkn mwenzako akitumia wasanii kwa lengo hilohilo la kuchekesha unaponda, i think unatumia k***o kufikiria

    ReplyDelete
  5. Steven nyerere tuombe radhi kwa kutuita watanzania wajinga

    ReplyDelete
  6. Steve Nyerere acha wivu wasanii mnatakiwa kupendana na sio kumkashf mtu. Wewe wenyewe huna cha Maana Ila ndio hivo unajichomeka chomeka. Unatafuta kiki kwa Erick Omondi. Wewe usanii ulishakupiga chenga unaweza ukuwadi kwa wema sepetu na aunt Ezekiel ili kuendeleza maisha.

    ReplyDelete
  7. steven Mangere sijui makngere..nyerere nitampa bichwa..huyu hata mboto na mau hawawezi...aanze kwanza na wakina mau na mboto..ndo aje kwa kina joti,mpoki majuto...then ndo aongee ivyoo

    ReplyDelete
  8. Miaka minne sasa kila nikiangalia kazi za Erick nashindwa kukuelewa stive,kuonyesha respect sio ujinga umepotoka.kazi zako ndio zikutambulishe acha porojo,sijaona unachokifanya hata nikufananishe na Erick hata chembe.

    ReplyDelete

Top Post Ad