BAADA ya Weusi Kuwa na Kigugumizi Kuhusu Lord Eyes..Baraka The Prince Aamua Kumchukua Kwenye Lebo yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Na mwimbaji wa bongofleva Baraka The Prince ameingia kwenye headlines za kusimamia wasanii na sasa kaanzisha Label iitwayo BANA itakayosimamiwa na watu wawili ambao ni Baraka na mpenzi wake Naj.

BANA tayari imeshafanya mazungumzo na kujiweka kwenye mstari wa kufanya kazi kwa kuwasimamia Wasanii watatu akiwemo Rapper Lord Eyes
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hizo label kila kukicha du bongo ya leo kila mtu anaweza kuwa na label yake ndiyo maana wasanii wengi wa kibongo hawafiki mbali hao wenyewe Daraka na Naj hawajafika popote pale

    ReplyDelete

Top Post Ad