JOHN Heche: Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 
Anaandika Comred Mbunge wa Jimbo la Tarime vijini John Heche.

Mahakama za Tanzania ni aibu kwa taifa, mahakama inapokua sehemu ya kunyima haki inafundisha watu tabia ya kutoheshimu mahakama.

Hili sakata la Lema kuna mtu aliniambia mapama litapigwa danadana mpaka feb kwa visingizio mbalimbali mwanzo sikuamin!

Sasa imethibitika hivyo inatia hasira sana. Kesi yenye dhamana inawezekana vipi kunyimwa dhamana!
Kama kesi ya kuota mtukufu amekufa haina dhamana ni bora ikaunganishwa na zile tatu za mauaji,uhaini na armed robbery ambazo sheria zetu zinatambua kwamba hazina dhamana, vinginevyo ni mahakama kutumika vibaya kunyima watu haki zao, na watu wataendelea kuona maona hata kama mtukufu hayapendi.
#Justice for Lema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acheni ujinga wenu nyie watu. Ni kweli kuna uwezekano wa kisheria wa kunyimwa dhamana katika kesi ya dhamana iwapo utakuwa hujatimiza yale masharti ya kupewa dhamana. Inakuwaje kuwaje mtu apewe dhamana bila ya kutimiza yale masharti ya dhamana kisheria??????.....Nadhani nyie wachangiaji mnalichukulia hilo shauri katika mtizamo wa kibinafsi zaidi bila ya kuzingatia zile taratibu na sheria za Kimahakama zinasemaje kuhusiana na kumpatia mtu dhamana kulinganisha na tatizo lake. Wekeni hoja zenu kwa kuzingatia zile taratibu na sheria za Mahakama na sio kuleta hoja za kijiweni ambazo hazina mashiko Kisheria na wala Kitaaluma. Mimi nilitegemea huyo Mbunge ambaye anategemewa sana na Wananchi walio mchagua katika kuliwakilisha jimbo lao kuwa ni mtu mwerevu na makini na mwenye weledi wa hali ya juu katika kuziwakilisha hoja zake na pia kwa kuzingatia hoja za kitaaluma zaidi kuliko hizo hoja za vijiweni. Sasa swali ni je kama huyo Mbunge ambaye ni Mwakilishi anayewawakilisha mamia ya Wanachi katika jimbo lake anaweza kutoa hoja za utumbo kwa kiasi hicho,ni kivipi ataweza kukabiliana na mambo mengine ya kimsingi na changamoto nyingine zinazoliandama Jimbo lake??????......Halafu kesho na keshokutwa ataanza kutoa utumbo mwingine wa kuilaumu Serikali kwa uzembe wake mwenyewe wa kutoyasimamia mambo ya maana na ya kimsingi katika jimbo lake. Hii ni aibu kwa Mbunge wa aina hiyo na kwa kweli sisi Wananchi inabidi tuwe makini sana na aina ya watu tunaowachagua ili kutuwakilisha katika mambo mbalimbali ya muhimu katika maendeleo yetu wenyewe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeambiwa hajatimiza mashart ya zamana au,hakuna zamana mbona unakurupuka WW unajiona upo saws wakat WW unaongea utumbo msiifanye hii nch kuwa ya kidicteta maana ndiko tunakoelekeaa

      Delete
  2. Wote mnahitaji kupimwa akili na hamlijui kosa lake na siyo kusema ameota kifo cha rais na wapuuzi msianze kubadilisha kauli na huo u-TZ wenu
    Huyu mgonjwa wenu alitamka kuomba rais afe na kesi zake zingine ni za kutukana viongozi na za kichochezi kuelekea uvunjivu wa amani na kama nyie ni wavunja amani na ndio siasa zenu hapa TZ hatutaki,, nendeni kwingine
    Tunaomba ktk kesi zinazomkabili huyu Lema itokee ya kumpatia angalau miezi 6 jela na ubunge uende na akija kushinda tena ubunge basi

    ReplyDelete
    Replies
    1. ...WAAFRIKA SIKU ZOTE WANAUNDA MATATIZO YAO WENYEWE NA BAADAE YANAWATIA AIBU DUNIANI.... KWA AKILI ZA KAWAIDA MTU AKISIMULIA NDOTO ZAKE , KUNA UBAYA GANI.?? NANI ALIWAHI KUFA ETI KWA SABABU KUNA MTU KAMWOTA KUWA AMEKUFA.??..TUSIPOTEZE MUDA WA MAHAKAMA ZETU KWA KESI ZISIZO NA TIJA KAMA HIZI....KAMA TUNGEAMBIWA MAHAKAMA INATUMIA KIASI GANI CHA FEDHA KWA KESI KAMA HIZI, NAFIKIRI TUNGEKUWA WAANGALIFU ZAIDI KATIKA UFUNGUAJI WA KESI, TUACHANE NA KESI HIZI ZINAZOTIA DOA MUHIMILI WA MAHAKAMA ZETU NA UTOAJI WA HAKI KISHERIA...

      Delete
    2. Weye anony 8:23 AM Kama ni ndoto kunahaja gani yakusimulia magazetini kama sio uzandiki na uchochezi kwani wangapi watanzania wanaota hawajatangaza magazetini kuna wengine ndoto zao wanamuota raisi hata kushinda alivyoota Lema mbona hawatangazi ndoto zao kuwa muelewa sio kuburuzana

      Delete
  3. LEMA ndo awe na adabu na aheshimu mamlaka .hapa nachoona sio mambo ya justice nisheria anashindwa kukizi sifa za yeye kupata dhamana.acheni lawama hajaonewa ,akirudi awe na adabu.

    ReplyDelete

Top Post Ad