KUMNYIMA Lema Dhamana Hakutufanyi Tuvunjike Moyo... Bali Ndio Tumepata Ujasiri wa Kujiandaa zaidi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kumnyima Lema Dhamana hakutufanyi tuvunjike Moyo... Bali ndiyo tumepata ujasiri wa kujiandaa zaidi na kutuambia Mabadiliko ya kisiasa tunayotaka lazima tuyalipie... Lema yupo Strong kuliko Jana,Lema siyo Mwepesi kama mnavyodhana inawezakuwa..
Mawakili wetu tunawapongeza kazi kubwa na ngumu ya kupambana kwenye vyombo sitahiki, Ninauhakika Mbele ya Mawakili wetu Mapambano kamwe hayatakoma.. Hii inaitwa Struggle of power... Comrade Wakili Msomi Peter Kibatala na Mawakili wengine Mnapigania haki Imani yetu bado ipo kwenu.. Neema Tarimo Lema Najua upo Strong hujawahi kutetereka Shemeji wangu wa nguvu...We shall overcome..NEVER SAY NEVER

By Henry Kilewo
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pole. Heneli kilewo. Pole Godless Lema. Hasara yenu .. Badilikeni na muwe na nidhamu ..mujue tofauti ua mungu na shetani. Mashetani huwazukia wenzi wao bola taarifa.. Na ndicho kilicho tokea..Mnatia hofu jitambueni. Hapa kazi .. Kilewo Ni lazima ujitume ili uishi. Dhana potofu hatuzitaki.

    ReplyDelete
  2. Poleni kwa ujumla... Nidhamu/Uaminifu/Ushirikiano na Uzalendo its a call of time. Hapa Kazi tu!

    ReplyDelete
  3. Poleni kwa ujumla... Nidhamu/Uaminifu/Ushirikiano na Uzalendo its a call of time. Hapa Kazi tu!

    ReplyDelete
  4. Mnajaribu kufanya ionekane kama ni zile enzi za kupigania Uhuru kutoka kwa Wakoloni. Enzi na Zama zile ziliiishapita kitambo.Nchi karibu zote Duniani ziliishapata Uhuru wa kujiendesha na kujiamulia mambo yake wenyewe.Hata mkijaribu kumlinganisha na akina Malcolm X na akina Martin Luther King Jr bado haitawezekana kwa sababu hata zile aina ya harakati zao pale Marekani ziliishapitwa na wakati. Watu waliishatoka huko kitamboooooooo............HAPANIKAZITU.....ni ama uzifuate na kuzitii sheria na amri kutoka katika mamlaka husika ya Nchi, ama ndio uishie huko Lupango ukanyeee kwenye Ndooo.......Na bado,mtaisoma sana namba mwaka huu.

    ReplyDelete
  5. Na ikiwezekana wamtose hata Ubunge wenyewe na ndio ashike adabu, mxeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  6. hapa kazi tuu
    viva Magufuli viva!!

    ReplyDelete
  7. Never say never!!!!! kingreza hicho!!!!! Hivi si bora ungeongea kiswahili tu jamaniii!!!! Mnatuaibisha na hiyo michomekeo yenu ambayo mara nyingi hupoteza hata maana ya kile mlichotaka kukiongelea..
    Mhh Poleni sana ila tu kama tu vile ndugu yako alivyosema anaomba rais afe na kutukana watu ndio unaita ujasiri una hatari na mtaumia sana kwani heshima ni kitu cha bure na KUTUKANA SIYO SIASA hata hao viongozi wenu wa CHADEMA inaonekana hawako pamoja nanyi kivile
    Dola itafanya kazi kupunguza matusi kwenye siasa ili mjifunze kuleta ajenda

    ReplyDelete
  8. huyu lema si wampige miezi sita tuu
    akitoka apo awe na adabu manake jela hakuna cha uheshimiwa wala nini
    huyu mke wake nae apite iv

    ReplyDelete
    Replies
    1. All of you and your comments are nonsence..... and you talk too much but nothing!! God will continue to fight for Lema and Ukawa as well..... ALUTA CONTINUE

      Delete

Top Post Ad