LADY Jay Dee Aonyesha Cheti cha Talaka Yake na Kusema Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Ameandika hivi:

Katika vitu vikubwa ninavyoshukuru 2016
Ni kutoka katika Cheti cha juu na kuingia Cheti cha chini 🙏🙏
Bila kujali wanafikiria nini 🙋🏻🙋🏻 Nilifanya hivyo kwa manufaa na furaha yangu , maisha yangu na familia yangu.Namshukuru Mungu kwa kunipa nguvu kwani haikuwa kazi rahisi ukizingatia swala la kuogopa watu wata ku judge vipi. Baada ya battle ya nafasi ya takribani miaka miwili 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽 Naomba makofi tafadhali 👏👏👏👏
Sitegemei tena kauli za nilikufanyaje sijui miaka kadhaa, au emoji zisizo eleweka. Utoto huooooooo . Mtu aki move on hana haja kufanya utoto wote huo , uki move on hujali chochote. Kwa neema ya Mungu nawaombea Wote ambao hamja get over situations mbarikiwe mtoke kwenye kuwaza past, Maisha mbona ni matamu tu ukiamua
#KataaKuwaMtumwa
#ChaguaKuwaNaFuraha
#GutsOverFear
#Komando
#MoveOnNigga
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mara hii umemu - miss duu!! Kweli alikuk....miaka 15

    ReplyDelete
  2. huna lolote unajishongondoa tu

    ReplyDelete

Top Post Ad