SOLO Thang: Sikuwa na Nia ya Kumdhalilisha Chidi Benz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop nchini, Solo Thang amefunguka baada ya baadhi ya watu kumjia juu kwa kusambaza kipande cha video alichorekedi akiwa na Chidi Benz.

Akiongea kwenye kipindi cha E News cha EATV, Solo amesema kuwa Chidi ndiye aliyemtaka amshoot video wakati walipokutana ila hakuwa na nia kama watu wengine wanavyofikiria.

“Chidi ni mdogo wa rafiki yangu na nilimfahamu zamani sana kabla hata hajaanza kuimba. Hivyo tuna historia ndefu kidogo. Chid kwa sasa huwa hapigi picha na watu, lakini tulipoonana ni yeye mwenyewe ndiye alitaka tushoot ile video lakini sikuwa na nia ya kumchoresha,” amesema Solo.

Rapper huyo ameongeza kuwa watu waache kumlaumu Chidi kwa kile kilichomtokea na badala yake wanatakiwa kumpatia msaada bila ya kuchoka.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wewe ni rafiki mnafiki hata kama alitaka mwenyewe kwa nini ulishoot na kusambaza mitandaoni kwanza hata kama alitaka mwenyewe umshoot usingefanya hivyo unajua wazi kuwa watu wanaotumia madawa huwa hayajitambui wanachookiongea wewe ungepuuzia tu usingemshoot mwenzio akiwa kwenye hali kama ile huo sio urafiki haya sasa ulimshoot sasa kwa nini usambaze kwenye mitandao ya kijamii si ingekuwa ukombusho wenu tu wakati mkikutana, wewe ni joke si rafiki mimi mwenyewe rafiki yangu au ndugu yangu angenishoot nikiwa katika hali hiyo halafu asambaze mitandaoni hapo urafiki na undugu ungekwisha mara moja na huyo mtu angekipata kunifanyia hivyo, Chid Benz nenda kampige makofi hilo Solo Thangi

    ReplyDelete
  2. Sio vizuri Solo Thang ulivyosambaza video mitandaoni sababu haifutiki mpaka watoto wake watakuja kuona maisha ya mbele ulivyofanya sio vizuri wewe mwenyewe Solo ona ulivyo mnene na manyama usoni wewe mwenyewe unahitaji msaada wa kupungua mwili zamani ulikuwa na shepu nzuri lakini sasa umejiharibu manyama kibao usoni utazani sio wewe

    ReplyDelete

Top Post Ad