Nyota Mzimabwe Jah Prayzah katika kashfa ya kukopi video ya Diamond Plutnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nyota wa muziki maarufu nchini zimbabwe Jah Playzah amekumbwa na kashfa kubwa ya kukopi kila kitu video ya wimbo ya wimbo wake jarusarema kutoka katika video ya wimbo mdogomdogo ya mwanamuziki Diamond Plutnumz wa Tanzania. hata hivyo imekuja kugundulika baadae kabisa wakati nyota huyo mzimbabwe akiwa keshabeba tuzo mbali mbali kupitia video hiyo.

Cheki video hiyo hapo:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona sijaona chochote alichoiga hapooo....tena hii nzur kuliko hata mdogo mdogo

    ReplyDelete
  2. Dimond mwenyewe keshaiga video za wengine kibao, mbona hamsemi? sijaona chochote hapo ambacho kaiga huyu Mzimbabwe.. we mwandishi senge kweli!!

    ReplyDelete

Top Post Ad