PICHA: Wema Sepetu ‘Alivyohost’ Party Kwenye Club Yenye Strippers, Nairobi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kuna njia nyingi mtu maarufu anaweza kuingiza mkwanja, moja wapo ni appearances. Watu wenye majina makubwa hulipwa fedha nyingi kwa kutokea kwa muda mfupi tu kwenye club – na si lazima awe mwanamuziki.

Alhamis hii, Wema Sepetu ameingiza mkwanja wa kutosha kwa kuhost shughuli ya ulaji bata iliyopewa jina la Powerball Thursdays, kwenye kiota cha raha kilichopo Nairobi, Kenya, XS Millionaires Club.

Kiota hicho kina kila aina ya anasa, hadi strippers au kwa lugha ya heshima kiasi waweza kuwaita pole dancers. Na kwakuwa Wema si wa mchezo mchezo, XS Millionaires palitapika jana.



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Miss sepetu unajua kupendezaga saluteeee

    ReplyDelete
  2. Tanzania Sweetheart

    ReplyDelete
  3. Hiyo club ndiyo ya machangu doa jina limeandikwa hapo juu streaps srippes club du ndiyo maana kaalikwa ahost huko sababu wanamjua yeye ni nani

    ReplyDelete
  4. Lakini kapendeza sana ata iweje

    ReplyDelete
  5. Much obliged to you for exceptionally usefull data.. strippers in London

    ReplyDelete

Top Post Ad