AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ray Vanny Ameandika Haya Kupitia Ukurasa wake wa Instagram:
Rayvanny - Kwenye Video ya #KWETU Nguo zote Ulinipa wewe!!! #MUGACHERERE Nguo zote ulinipa zako... kiukweli Nimepata tabu nyingi Sana Kwenye Mziki wangu Lakini Niliamini Ipo Siku Namimi Nitaonekana.Nashukuru Mungu Sana Kunikutanisha nawewe Brother Naseeb Asante kwa Moyo Wako wa Upendo Kwangu Ulithamini kwa kidogo nilichonacho Nakuamini Nitaweza kufanya.Safari Bado Ndefu Tutafika Tunapotaka!!!
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Wewe ukisema hivi Harmonise atasemaje? Kuweni na umoja wa kukubali kwamba kila mmoja wenu anamchango wake WBC. na Sallam ni kiongozi Mzuri mwenye kujali Masilahi yenu wote ...NGUVU KAZI. USIPOJITUMA HAUENDI MBELE..
ReplyDeleteWewe ukisema hivi Harmonise atasemaje? Kuweni na umoja wa kukubali kwamba kila mmoja wenu anamchango wake WBC. na Sallam ni kiongozi Mzuri mwenye kujali Masilahi yenu wote ...NGUVU KAZI. USIPOJITUMA HAUENDI MBELE..
ReplyDeleteNa huyu nae kila siku kumshukuru Diamond umeshasema mara nyingi na tumekuelewa yatosha sasa
ReplyDelete