ROMA Awachana Warembo Bongo Movie, Amtahadharisha Darasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kweli bongo movie mmedharaulika sana, mkoje nyie lakini? Mbona miaka fulani waimbaji walikuwa wanakimbilia kwenu leo wanawacheka?

Hata Marekani Jay Z hawezi kumdharau Denzel au Tom Cruise hata kama kamzidi hela. Filamu ni tasnia inayoheshimika sana kasoro hapa kwa nyie wa Bongo Movie.

Jisomee Hapa Alichosema Mwanamuziki ROMA:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. vipi wewe Roma nikushangae wewe ambaye unawafananisha wasanii wa kimerekani na wa kibongo kwani, kwanza wasanii wa kimerekani ni star haswa wanajulikana duniani kote na ndiyo maana wanaheshimiana, pili wana mikwaanja mireefu ambayo inafanya hawana wakati wa kuwa na majungu na umbea umbea kama wasanii wa kibongo wana majungu na umbea umbea na ndiyo sababu hawafiki mbali baada ya kuwaza kufanya sinema nzuri yenye maadili wao wanakurupuka tu wanafanya fasta fasta ili mradi wapate hela ya kula hapo inakuwa wapi na wapi nja inawafanya bongo Movie wasifike mbali wasanii wa kimarekani hela ya kula tayari imeshatendenezwa tayari na ndiyo maana hawana ule muda wa kupikiana majungu wenyewe ni kupiga kazi za maana

    ReplyDelete

Top Post Ad