SHILOLE na Mpenzi Wake Mpya Wavujisha Video Wakidendeka..Mashabiki Wauzika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika mitandao ya kijamii wiki hii imesambaa video inayomuonyesha msanii wa muziki, Shilole akiliwa denda ya kijana ambaye jina lake halikutambulika mara moja kitu ambacho kimewakera mashabiki wake.

Hii imekuwa ni tabia ya mastaa wengi kuvujisha video zao za siri hali ambayo inasababisha taharuki katika mitandao ya kijamii.

Baada ya kusambaa kwa video hiyo mashabiki wake wameonyesha kuchukizwa na kitendo hicho. Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki hao.

elizabethsommy
Shilole huna stress lkn my Dada duu cjawahi yaona haya kwako veeeepeeeeeee my sister wanaumeee haoo

zam_nasso
Hili lidada ni hayawani sana nawaonea huruma watt wake wanaona uchafu wa mama yao.

Da_dija
Afu aftr deiz utasikia wanajitia kupanick y hzo video zimerushwa without their willin’ wkt they keep a poz wanapojirecord, then hawachelewi kusema wamebakwa. anyways nilikuwa nauliza hizi sheria za mitandaoni zipo au zimetumbuliwa!!!!????.

ishaa_mashauzy
Eeeeee mungu huku tunakoendea mtatuonyesha hadi mkiwa mnakwichkwich alafu @shilolekiuno_badgirlshishi siuna watt wakike wakubwa unafikiri hawaoni haya looooooooooh

saratz
Anapenda vitoto uyu Dada tena bora kiwe kitoto cha umri wake sasa iki ni kidogo kuliko yeye VIDEO:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. chaa ajabu nini hapo Shilole fanya yako usiwasikilize hao, Nuh mziwanda kaoa na mke Wake ana mimba hamna mtu yeyota aliyekasirika wewe tu umeoneshwa kwenye video ukidendeka na mtu watu hao mipovu Shilole fanya yako usiwasikilize hao kwani wewe ni mtu mzima unaweza fanya chochote unajisikia sababu humtegemii mtu unaji unajitegemea mwenyewe umuombi mtu pesa sababu pesa unayo

    ReplyDelete

Top Post Ad