AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Sugu amesema moja ya matukio mabaya kutokea akiwa mbunge ni la kupoteza Neema ambaye ni mkazi wa Mbeya na raia wa Mtanzania.
“Naomba mnisamehe. Kifo hiki kimeniumiza, nawaomba radhi ndugu wanafamilia na wananchi wa Mbeya,” ameeleza Sugu kwenye msiba huo.
Dhahiri Kidavashari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya amesema Gabriel ambaye ni dereva wa Sugu, anashikiliwa na jeshi hilo.
VIDEO:MCHUNGAJI AMFUFUA MTU KANISANI KWAKE DODOMA
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mmmmmh...
ReplyDeletehuyu mwandishi wa udaku huwa anazingua sana maana hajielewi anachoandika naona huwa anaandikaga akiwa amelewa maana mara binti aliyegongwa na gari jina akaandika Recho, baadaye kutoka Recho akaandika Neemba baada ya hapo binti aligongwa na gari na kuuliwa anaitwa Neema, wewe mwandishi wa udaku watu wameshakusema sana kwa jinsi unavyoandika huku hujielewi lakini hutaki kusikia kama huwezi kazi si heri uache tu kuliko kuwauzi watu na upuuzi wako
ReplyDeleteHUO NDIO UBINAADAMU!!!
ReplyDeleteNi uungwana kuomba msamaha, lakini dereva ni mzembe mno kumgonga mwenda miguu katika kivuko cha waendao kwa miguu,hakuna justification hapo.
ReplyDeleteIngekuwa ajali hiyo imesababishwa na mlala hoi angepelekwa mahakamani
ReplyDelete