UKWELI Mchungu: Wimbo wa Darasa 'Muziki' Wafunika wa Diamond 'Salome'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kulingana na jinsi watu walivyopokea wimbo mpya wa darasa 'muziki' katika maeneo mbali mbali nchini, wimbo wa Diamond wa 'Salome' umekufa kifo cha mende..yani hausikiki tena...

Yani kila mahali ni wimbo wa darasa tuuu, ila wa Diamond hausikiki tena...

Hakika darasa 'hupendagi ujinga', naona umeamua kumsomesha namba anayejiita Simba, na hii yote ni sababu ya kuanza kuimba 'matusi tu'...sifa za kijinga..ndio zinamponza..

Nakupa pongezi sana kaka kwa kuimba nyimbo nzuri..endelea kufunika..

Ukweli mchunguu...!
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Simba sio nyau...ukikutana na nyau...usikimbie 😀😀😀

    ReplyDelete
  2. Dogo kweli una uwezo mdogo sana wa kufukiri. yaani mnakaa mnawaza lini Diamond atashuka, mtasubiri sana.
    badala ya kujitahidi angalau kufukia hata nusu ya mafanikio yake, mnabaki ku m compare na watu wanatoa single moja kwa mwaka.
    mtaumia roho sana haters, mana ni muda mrefu sana hakuna atakayeweza kumkaribia, kulingana naye na hata kumshusha Diamond alipo.
    unam compare Diamond na ka single kamoja!
    angalia vitu kama;
    internationa collabo
    internationa awards
    hit songs
    mafanikio ya kimaisha, investments
    mikataba mbalimbali na makampuni makubwa ya kibiashara etc

    fungukeni ufahamu acheni kuongea nonsense.....Kenge nyie!

    ReplyDelete
  3. Hakuna kitu kama hicho, Salome by Diamond ulitoka ndani ya siku mbili ukawa na views 1M Na ishitoshe unatakribani 2month uje ulinganishe na huu wa one week, F**k

    ReplyDelete
  4. naona umeamua kufurahisha nafsi yako kwa kuandika uongo kuubadili uwe ukweli =)) =))

    ReplyDelete

Top Post Ad