AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
UTAFITI: Ripoti ya Taasisi ya Twaweza yaonyesha asilimia 92 ya wananchi wanapendelea vipindi vya Bunge kuonyeshwa moja kwa moja.
Pia katika utafiti huo asilimia 65 wanasema Vyombo vya Habari havijawahi au kama vimeshawahi, ni mara chache sana vimekuwa vikitumia vibaya uhuru wake kwa kutangaza vitu ambavyo si vya kweli.
Utafiti pia unaonyesha wananchi wanaunga mkono kwa kiasi kikubwa uhuru wa maoni na kupata taarifa. Karibu wananchi wote (95%) wanasema wananchi wawe huru kuikosoa serikali pale ambapo wanaona imekosea.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hatutaki kuwaona watafuta kiki na wasio jiheshimu Live not live.. Hawa watoro tumeshachoka nao... Tunataka kuona Action ya Maendeleo ya Nchi. Ubishi na Vioja wapeleke Magengeni na Siyo kama ilivyo kuwa hapo awali. Tumewachagua kuiletea masilahi nchi na wananchi na siyo kuona sura zao. TUNAWAJUA TOSHA. Hapa Kazi TU na mimi simo!!!!!
ReplyDeleteHatutaki kuwaona watafuta kiki na wasio jiheshimu Live not live.. Hawa watoro tumeshachoka nao... Tunataka kuona Action ya Maendeleo ya Nchi. Ubishi na Vioja wapeleke Magengeni na Siyo kama ilivyo kuwa hapo awali. Tumewachagua kuiletea masilahi nchi na wananchi na siyo kuona sura zao. TUNAWAJUA TOSHA. Hapa Kazi TU na mimi simo!!!!!
ReplyDeleteNadhan huu ndo utafit wa kwanza kwao kuwa wa kweli na nadhan ndo utakuwa wa mwisho pia
ReplyDeleteMtachoka tuu kupigia debe bunge live mpaka mtoe povo bunge live kuisheni
ReplyDeleteTunaomba walete mada hii isiyo na msingi. Wapunzike na kutupa nafasi tuweze kuangalia ya maana zaidi ikiwepo sisi kuendelea na productivity.. we need kufanya kazi kujiletea maendeleo. Sera tulizo wachagulia na kuwapa kura bado siko katika imani zetu kwamba wanatekeleza hapo bungeni. Tuendelee na imani hiyo . hata bila ya kuwaona. Sura zao tunazijua na ilikuwa mmojawapo ya changamoto zilizo pelekea kuwachagua kwao. Baada ya kuona wanatoroka bungeni na kuanzisha malumbano yasiyo na mishiko wala heshima wala nidhamu. Tunaomba chonde chonde msirudie kosa la kutuonesha bunge moja kwa moja. Tanzania tunataka kazi na uzalishaji. Hapa ni kazi tu.

ReplyDelete