ZARI Amejifungua? Diamond Aandika Ujumbe Huu Instagram Akielekea SA Akiwa na Mama yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz weekend hii amepost picha instagram akiwa safarini na Mama yake kuelekea Afrika Kusini huku kwenye picha hiyo akiwa ameandika ujumbe ambao unaonyesha huwenda mpenzi wake Zari amejifungua.

Mapema mwezi uliopita katika hatua za kujiandaa na mapokezi ya mtoto huyo, Zari alifanya baby shower nchini Afrika Kusini na kuwashirikisha marafiki zake na watu wa karibu.

Jumapili hii Diamond akiwa safarini na mama yake kwenda Afrika Kusini, ameandika :
Na mama Chibu D Chibu De … flying to our new Second home, South africa For my New Born… #MiniMe #ChibuJunior #YoungSimba #YoungLion Ungependa nimpe jinangani eti?😊
Kama Zari amejifungua basi huyo ni mtoto wake wa pili na Diamond. Pia atakuwa mtoto wake wa tano kwa ujumla.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
 1. Mwite
  1. Zarau
  2. Sijaona
  3. Sikujua
  4. Havintishi
  5. Chuki
  6.Kalumanzira

  ReplyDelete
 2. Muoe itakua busara ya mwaka muislam hakosei mara mbili hiyo zinaa kijana. Ujana moshi

  ReplyDelete
 3. HONGERA SANA DIAMOND KWA KUMJALI SANA MAMIO NA MZAZI MWENZIO ZARI. MANENO YANAYOSEMA YAWAKOMAZE MSIYAPE NAFASI.MPE JINA HILI Lateef
  لطيف
  Kind,Delicious, agreeable, fine, courteous, elegant, benevolent

  ReplyDelete

Top Post Ad