Gereza Laomba Liongezewe Wafungwa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Gereza la Kilimo Songwe,  Lyzeck Mwaseba ameiomba Serikali kulipatia wafungwa wengi na pembejeo ili kuongeza uzalishaji.

Miongoni mwa pembejeo hizo ni majembe, matrekta na mitambo mingine ya kilimo.

Mwaseba  aliwasilisha ombi hilo mbele ya Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama iliyotembelea gereza hilo ikiambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni.Ziara hiyo ililenga kujionea uzalishaji wa mahindi unaofanya na wafungwa.

“Gereza hili lina ukubwa wa hekta 2,170, lakini hivi sasa zinalimwa eka 250 kutokana na kuwapo wafungwa 165 tu ambao ni wachache,’’ alisema.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tafadhalini wana magereza na wizara ya mambo ya ndani. hamisheni wa ukonga na arusha na isanga wanaotumikia kifungo waende kuzalisha huko. Fikira na Ombi ni zuri na ni tekelezi. Hapa kazi tu hakuna kula bure katika magereza yetu. Na kina goless wote wapelekwe huko kuzalisha....

    ReplyDelete
  2. Sasa tumefikia huko?Balaa duniani

    ReplyDelete

Top Post Ad