Umeyasikia Maneno ya Trump Mara Baada tu ya Kuapishwa Kuwa Rais?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

trump24MAREKANI: Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuwaunganisha Wamarekani alipokuwa anawahutubia muda mfupi mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa nchi hiyo.

Trump ameyasema haya.

“Tutaunganisha nchi yetu,”

“Tutaifanya Amerika kuwa taifa kuu tena kwa ajili ya watu wetu wote. Kila mtu, kila mtu, kote nchini. Na hii inajumuisha hata walio mitaa duni.”

“Walisahau kuhusu wengi wetu,”

“Kwenye kampeni, niliwaita mwanamume aliyesahaulika na mwanamke aliyesahaulika. Naam, sasa nyinyi si watu waliosahaulika tena.”
“Mambo yatabadilika, nawaahidi. Mambo yatabadilika.” Alisema Trump

Trump ameahidi kuilinda miapaka yote ya Marekani huku akieleza kuwa nchi hiyo imekuwa ikifanya juhudi kubwa kulinda mipaka ya nchi nyingine na kusahau mipaka yake hivyo kuingiliwa na wabaya wao na kusababisha maafa makubwa kwa Wamarekani huku akiahidi kufanya mambo ambayo hayajawahi kufanywa nchini Marekani mwa miongo mingi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad