AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ikiwa ni muda mchache baada ya Rais Trump kuapishwa kuwa Rais wa 45 wa Marekani, bado wanaompiga wanaendelea na maandamano dhidi yake.
Je, Trump ataweza kuwatuliza na kuwaunganisha wamarekani kabla hali haijawa mbaya zaidi?
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Waandamanaji hawana kazi ya kufanya. Trump ni raisi maisha yanaendelea kama kawaida.
ReplyDeleteMimi ninaishi hapa USA. Watu wanyumbani walikua wananipigia simu eti tunaangalia rais wenu mpya " Hatumtaki Trump" Sasa mimi ninajiuliza yanawahusu nini?? Mbona mimi sina wasiwasi nae!! Hamumutaki kawakosea nini acheni kuingilia mambo ya siyo wahusu, zungumzieni njaa ingawaje nasikia wengine wanasema hakuna njaa. Mamboya ngoso mwachie ngoso mwenyewe.
ReplyDelete