Nay wa Mitego Achukizwa na Video ya Mwanamke Aliyedhalilishwa kwa kuchapwa Viboko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Rapa Nay wa Mitego ameonesha kusikitishwa na moja ya video ambayo inamuonesha mwanamke akiwa amezungukwa na wazee na vijana wengi wakimchapa viboko kama adhabu kutokana na makosa ambayo mwanamke huyo ameyafanya.

Rapa Nay wa Mitego baada ya kuitazama video hiyo amefunguka na kusema licha ya ubabe wake na ukorofi wake lakini katika maisha yake hajawahi kumpiga mwanamke na kusema anawachukia sana wanaume ambao wamekuwa wakiwapiga wanawake.

"Na ubabe wangu wote, sijawahi kumpiga mwanamke, namchukia mwanaume yoyote kwenye hii dunia anaye mpiga mwanamke. Ningekua ni kiongozi kwenye hii nchi hawa mbw*** wote wangeenda jela bila mjadala, acha jela ikajae lakini cha moto wakione. Huu ni unyanyasaji wa hali ya juu. Sijui kabila gani hawa mashetani..!! eeh Mungu walaani hawa binadamu wanaomdhalilisha huyu mama, wageuze ata funza tu. Wahusikaaaaa please chukue hatua kali juu hili". Alisisitiza Nay wa Mitego

Tazama hapa video ya mwanamke huyo, akiadhibiwa na kundi la wanaume...

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. . uNyama gani huu wanaumu.Madame kijini kuzama yanaangalia mzee n.a. vijana. Kijiji kizima.naomba serikali yavMagufuli iwalazimu polish wawatie ndani wote waliohusika. Moyo unaniuma, mwanamke anamzaa mwanaume mwenye moyo kama jiwe. Hoi ni Karen ya kwanza au ishirini n.a. moja. Kunasheria ngapi Tanzania.Haya majibu ya poor ni kabisa gani. Huyu mama inabidi atolewe hapo n.a. alindwe. Haya ni majambazi wazi. Mauaji. Manama pori. Yanaelimu au. Yananikumbusha enzi za utaweka wa kiherumani. Ipitishwe sheria hii isirudiwe tena maisha. Naomba Ndugu Magufuli nihakikishie haya mathags wote wawekwe ndani. Video ushahidi haina haja kwenda kortini. Nchi yetu inaendeshwa n.a. sheria ngapi.It makes me sick.he watu ws sawa wa binadamu mko wapi. Moja wa wanawske make wapi. U moja wa vijana ni nyinyi Taifa linawategemea mko wapi.ubeberu ndio huu. Ujinga wa wanaume wote lundo zimma wanaoangalia n.a. kuchochea hawana haya, hawana akili, na sijui kama akili zao sawasawa. Ni unyama mtupu.aibu, aibu, aibu

    ReplyDelete
  2. . UNyama gani huu wanaumu.Madume kijini kuzama yanaangalia mzee n.a. vijana. Kijiji kizima.naomba serikali yav
    Magufuli iwalazimu polisi wawatie ndani wote waliohusika. Moyo unaniuma, mwanamke anamzaa mwanaume mwenye moyo kama jiwe. Hao ni Karen ya kwanza au ishirini n.a. moja. Kunasheria ngapi Tanzania.Haya majibu ya poor ni kabisa gani. Huyu mama inabidi atolewe hapo n.a. alindwe. Haya ni majambazi wazi. Mauaji. Manyama pori. Yanaelimu au. Yananikumbusha enzi za utawala wa kijerumani. Ipitishwe sheria hii isirudiwe tena maisha. Naomba Ndugu Magufuli nihakikishie haya mathags wote wawekwe ndani. Video ushahidi haina haja kwenda kortini. Nchi yetu inaendeshwa n.a. sheria ngapi.It makes me sick.he watu hawa sawa na binadamu mko wapi. Moja wa wanawake make wapi. U moja wa vijana ni nyinyi Taifa linawategemea mko wapi.ubeberu ndio huu. Ujinga wa wanaume wote lundo zimma wanaoangalia n.a. kuchochea hawana haya, hawana akili, na sijui kama akili zao sawasawa. Ni unyama mtupu.aibu, aibu, aibu

    ReplyDelete
  3. ni lazima serekali iwackulie hatua hao wanaume what it this kwa kosa gani? hata apigwe kipigo hicho wanaume wazee wazima waliokosa haya hivo hao walio kusanyika hivo hawana mama hawan mabinti kwa nini wamdhalilishe huyo mama haiwezekani ni lazima watie mikononi wote hao walio hudhuria na walio mpiga washenzi wakubwa sio maumbwa tu hawa ni zaidi ya wanyama

    ReplyDelete
  4. jamani fungueni macho serekali iko wapi hao wazee wa kijijo watie ndani wapewe na wao vichapo whatvis going on? kwa nini apigwe nyie hebu jiulizeni mumezaliwa na nani? huyo huyo mwanamke mnae mdhalilisha hapo nyue kweli ni binadamu wanyama wakubwa wapumbavu mliokosa akili washenzi wakubwa tafadhali rais Magufuli hawa lazi.a wachukulie hatua hebu angalia hio video clip juu hapo mungu awalaani kila alie mpiga huyo mama na wote waliochangia mambo hayo

    ReplyDelete

Top Post Ad