Sakata la Kunyanyashwa na Kuteshwa kwa Watanzania Msumbiji,Maelfu Warudishwa ..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Ofisa wa Uhamiaji wa Mkoa wa Mtwara, Rose Mhagama alisema hadi sasa Watanzania 2,420 wamerudishwa nchini kutokea Msumbiji kupitia Mpaka wa Kilambo.

Mhagama alisema huenda idadi hiyo ikaongezeka kutokana na kuendelea kuwasili kwa wananchi hao.

Wakati Mhagama akieleza idadi ya Watanzania waliorudishwa nchini, mwanamke mmoja aliyekuwa akitokea  nchini Msumbiji amefariki dunia usiku wa kuamkia juzi katika Hospitali ya Rufaa Ligula mkoani Mtwara alikokuwa akipatiwa matibabu.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, George Salala alisema mwanamke huyo ametambuliwa kuwa ni Jackline Gryson (26) mkazi wa mkoani Iringa.

Alisema alipokewa katika kivuko cha mpaka wa Kilambo hali yake ikiwa mbaya kutokana na ugonjwa.

Wakati huohuo; Kaimu kamanda huyo alisema Mkoa wa Mtwara unaendelea kuwapokea Watanzania wanaorudishwa nchini kutokea Msumbiji wanakodaiwa kuishi kinyume cha sheria.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad