Ticker

6/recent/ticker-posts

Ubuyu wa Moto Moto...Zari, Wema Kuigiza Kwenye Film Pamoja.....!!!

Nafasi za Ajira Serikalini Zilizotangazwa Wiki Hii Bonyeza HAPA

Nafasi za Internship Zilizotangazwa Bonyeza HAPA

Matokeo ya Form Four 2022 Bonyeza HAPA


Za chini kwa chini tunaambiwa kuna producer wa Filamu Bongo anataka kuwakutanisha Zari na Wema Sepetu katika movie moja matata na yupo tayari kuwapa mkwanja watakaohitaji kupitia sponsor but ugumu upo kwa mafahari hao wawili kukubali kuigiza pamoja

Post a Comment

0 Comments