USHAURI wa Mange Kimambi Kwa Chadema Baada ya Kumchukua Wema Sepetu .

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mange Kimambi Ameandika haya hapa chini katika ukurasa wake wa Instagram:

From @mangekimambi_ - Mi naomba nitoe nasaha kwa Chadema juu ya Wema mapemaaaa ili baadae tusije kulaumiana.
.

Mi natoa ushauri kwa Chadema kuwa wawe serious na kumshikilia huyu mtoto mpaka 2020. She is a huge asset. Wasifanye mistake waliyoifanya kwa Wolper!!Kuna mtu aliedhani kuna siku Wolper atageuka?Wolper alitupa shida mnooooo kipindi cha kampenii, Yani alikuwa ndo kamanda wao namba 1 online.Ila baada ya kampeni kuisha mlimsahau kabisaaa... Ubunge viti maalum mkawapa mahawara na magirlfiend zenu ambao hawakuwa na mchango hata robo ya mchango wa Wolper.Okay basi acheni viti maalum, hata kumpa kifuta jasho Mbowe jamani?

Ngojeni niwaambieni kitu, tusidanganyane hapa kuwa mtu anaweza kukipenda chama akawa anakufa njaaa ila akakomaa na chama.So Mimi nawaambia Chadema although Wema anaapa Miungu yoooote kuwa kaja kwa roho moja na haitaji pesa, mwisho wa siku hakuna kishawishi kibaya kama njaa.Atajikaza mwaka au miaka miwili ila njaa ikimzidia shetani atamshinda.Na CCM mnawajua mbinu zao.

So Mimi nawaaambia mapemaaa, Mbowe, Mdee , Easter Bulaya and the rest huyu mtoto 'mumshikilie'.She is going to be a huge asset to you kupata kura za watu wengi mnooo.Njaa isikie kwa mwenzio, so don't take her for granted!

Nawapeni wazo tu, sio lazma mumuweke kwenye payroll ya chama Ila Baba Sasha, Lema, Professor Jay, Mdee, Easter, Mbowe, Mnyika,mkisema kila mwezi kila mmoja wenu achange laki 3 tu za kumsaidia Wema kujikimu hamtoshindwa.Haki hizo kidogo zitamsaidia kuishi na kujikimu na kukitumikia chama.Mkimwacha akapauka asije after 2 years 'akaimisss' CCM tukaanza kulaumiana Hapa. Njaa ni kitu kingine aiseee!

Hata Wolper Alivyorudi CCM niliweka posti nikasema tusimlaumu Wolper , tuwalaumu Chadema, hawakumthamini, mtoto wa watu aliwasaidia mno.Asikwambie mtu Hata mtu apende chama vipi mwisho wa siku mkono lazma uende kinywani.


Mimi mwenyewe sometimes naishiwaga nguvu ya kazi Ila ni vile Magufuli ananiogopesha mnooo na issue ya demokrasia na udikteta so najikaza. Ila sometimes huwa natamani niage. So Trust me najua nachoongelea, msaidieni huyo mtoto..
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Haha Haha we Mange unajua kuchemka sana. Unafikiri watanzania wote ni wajinga kama wewe. Kwanza Wema ni mani mpaka afanye Chadema ishinde 2020? Watanzania tumeamka sasa tunaangalia mani anafanya mambo ya maendeleo na siyo sura........

    ReplyDelete
    Replies
    1. NAKUUNGA MKONO ANONYMOUS WA 12.11 PM SIYO SIRI TUNAANGALIZA MTU ANAYEPIGA KAZI HATUNA TENA UJINGA WA MIAKA ILIYOPITA HAPA KAZI TUU.

      Delete
    2. Kweli kabisa

      Delete
  2. Lkn jamani Wema mzuri she soo beutiful natural colour nakupenda muno

    ReplyDelete
  3. Wema ataishia kufanywa mtungo. Atanoa majando ya marijali wa CHADEMA halafu atapigwa kibuti. Huyo Mange hanaga sera maisha yake yote ndio maana anaishia kuzalishwa na kupigwa chini. Haachi kujiita ndugu wa Malecela na Sepetu. Yeye vindugu vyake anaona haya hata kuvitaja. Vina muonekano wa kijijiniiii kama ye mwenyewe na kigugumzi chake. Pumbaff Mange mcxxxx

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaha mpe yake akalale mbele!

      Delete
  4. Mimi sijui ukweli juu ya makosaya ya Wema lakini, je ni sahihi mara hii Chadema kumpapatikia Wema kabla ya kuwa na uhakika si mkosaji? Je kama ni mkosaji katika jambo husika, si itamaanisha 'sifa' ya upinzani ni kukusanya watu wasiofaa katika jamii?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa. Huyo ni sawa na ugonjwa wa akili. Akifanya kosa asiadhibiwe. Yeye amekuwa malaika! Shenzi sana!

      Delete

Top Post Ad