Waziri Kigwangalla Amehairisha Mkutano wa Kuwataja Wanaohusika na Mapenzi ya Ushoga

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Naibu Waziri Kigwangalla ameahirisha mkutano wa waandishi wa habari alipotegemewa kutaja wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Dkt Kigwangalla amesema kuwa ameshindwa kufanya mkutano huo na kuwataja mashoga hao wanaojiuza mtandaoni kutokana na sababu za kiufundi.

Mnamo tarehe 6 mwezi Februari Naibu Waziri huyo alimtaka kijana anayefahamika kama James Delicious kufika kituo cha Polisi kwa kujitangaza kuwa ni Shoga. - #regrann
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanasheria wa chadema wanakuona,muda si mrefu watainunua kesi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. hahahaaaaaaaaaa hilo nalo neon hawakawii kudai haki

      Delete

Top Post Ad