Waziri Nape amtoa kasoro RC Makonda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Habari, Nape Nnauye amedai kuwa mbinu zilizotumiwa na RC Makonda kupambana na biashara ya dawa za kulevya zina kasoro kubwa.


Akizungumza jana katika mahojiano maalumu na kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na televisheni ya ITV Nape Amehoji kuwa inawezekanaje kumtaarifu muuza dawa za kulevya kuwa unataka kumkamata?


Aidha Waziri Nape amesema kuwa wazo la kupambana na dawa za kulevya alilianzisha yeye na alikuwa anapanga kulipeleka bungeni.


Chanzo;JamiiForum
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hana jipya huyu siku zooote ulikuwa wapi,,wabongo km ngozi ya pumbu kila cku kasoro tu dduh!eti waziri...mapovu ya kumsaidia Wema tu nani asiyejua!-kaka makonda endelea na uzi ule ule tu..

    ReplyDelete

Top Post Ad