Duh..Hiki Ndicho Alichokifanya Meya wa Ubungo Jana..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Halmashuri mpya ya Ubungo imetoa msaada wa vitu  mbalimbali zikiwamo khanga na sabuni katika hospitali ya wilaya ya hiyo Sinza Palestina ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha  wanawake duniani.

Msaada wenye thamani ya zaidi ya Sh2 milioni umetolewa jana asubuhi na Meya wa Ubungo, Boniface Jacob akiambatana na maofisa wa wilaya hiyo.

Jacob amesema msaada huo ni jitahada mbalimbali za kuunga mkono siku wanawake kwa ni watu muhimu wa kuendesha gurudumu la maendeleo na kwamba halmashauri hiyo ipo katika kuboresha hospitali ya hiyo iwe ya kisasa.

Mmoja wa kinamama Ester William aliishukuru manispaa hiyo kwa kuwajali ikiwamo kuboresha huduma za afya katika hospitali hiyo na Mungu awabariki.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad