Harmorapa Bwana..Eti Ametaja Sababu ya Kutimua Mbio Baada ya Nape Kuonyeshwa Bastola Juzi..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii asiyekaukiwa 'kiki' katika ulingo wa sanaa ya Bongo, Harmorapa amesimulia kilichomkuta alipokwenda kumuona aliyekuwa Waziri wa habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Nape Nnauye kiasi cha kutoka mbio za aina yake, baada ya kuona bastola.

Harmorapa ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake inayokwenda kwa jina la 'Kiboko ya Mabishoo' aliyomshirikisha Juma Nature, amesema kilichomfanya aende katika mkutano ule mara baada ya Nape kuondolewa kwenye nafasi yake ya uwaziri, ni kumpa pole na kumshukuru Nape kwa kuwa ndiye aliyekuwa mlezi wa tasnia ya sanaa nchini.

Akizungumzia tukio alilolishuhudia la Nape kutishiwa bastola mbele yake, Harmorapa aliyekuwa akizungumza na eNewz ya EATV, amekiri kuwa ni kweli hajawahi kuiona kwa ukaribu ule, hivyo alipoona inachomolewa aliogopa na kujikuta akitoka mbio, huku akikanusha utani ulioenea mitandani kuwa alikimbia hadi Mtwara.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad