AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
JUZIKATI yaliibuka madai kwamba, uchumba wa staa wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na yule bosi wa redio Bongo umevunjika huku kila moja akiongea lake. Madai hayo yalienea kwenye mitandao ya kijamii na wapo waliokwenda mbali zaidi kudai kuwa, sasa Lulu karejea kwao na ana mpango wa kuanzisha maisha yake mengine.
“Wamemwagana, uchumba haupo tena, ila kusema ukweli inauma kuachwa na umpendaye,” aliandika mdau mmoja kwenye Mtandao wa Instagram kisha akasindikiza maneno hayo kwa picha ya Lulu na baby wake huyo.
Kufuatia madai hayo kusambaa mithili ya moto wa kifuu huku mashabiki wengi wa mastaa hao wakipiga simu kwenye chumba chetu cha habari na kutaka ufafanuzi wa habari hizo, Ijumaa lilifanya jitihada za kumtafuta Lulu kupitia simu yake lakini alipoulizwa, badala ya kutoa ufafanuzi alitoa povu kuashiria kuwa hataki habari zake ziandikwe.
“Sitaki kuongelea chochote…sitaki kuongelea chochote, pliz…unajua mimi siyo mtu wa magazeti kabisa na unanijua vizuri…” alisema Lulu na kumuacha mwandishi ameduwaa hasa kwa ile sentensi kwamba eti yeye si mtu wa magazeti.
Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.
Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA
Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
WAANDISHI KAMA WEWE MNACHANGIA KUVURUGA VITU VINGI,SHWAIN ZENU.
ReplyDeleteWEWE LULU NI MZURI .UMEJAALIWA.ILA PUNGUZA MBWEMBWE.
ReplyDelete