Madaktari Kenya Waufyata Mkia Baada ya Uhuru Kenyataa Kutoa Kauli Hii...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali ya Kenya pamoja na madaktari nchini humo, hatimaye wametia sahihi makubaliano ya kurudi kazini.

Hii ni baada ya mgomo wa madaktari nchini kenya, ambao umedumu siku mia moja na kuathiri vibaya huduma za afya nchini humo.

Chama cha madaktari kikiongozwa na mwenyekiri wake Oroko Samuel, kuliungana na waziri wa Afya Cleopha Mailu kwenye ofisi za magavana wakati wa kutiwa sahihi makubaliano hayo.

Awali kulikuwa na hofu wakati madaktari walikataa kuingia ofisi ambapo makubaliano hayo yangetiwa sahihi, wakilalamikia utata wa vipengee fulani.

Madaktari walianza mgomo huo wakidai kuwa serikali imeshindwa kutimiza makubaliano waliyoafikiana, ya nyongeza ya mishahara yao na kuboreshwa kwa mazingira ya kufanya kazi.

Wiki iliyopita rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, alitangaza kuwa madaktari wangechukuliwa hatua iwapo hawangemaliza mgomo wao.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waufyata?you are stupid?
    President Magufuli mwenye hapendi waandishi wake kwamba hawana maadili kwenye uandishi hapo hajakosa.

    ReplyDelete

Top Post Ad