Serikali Yazidi Kumpendelea Dangote,Baada ya Kupewa Mgodi wa Makaa ya Mawe,Sasa Apewa Tenda ya Kuiuzia Serikali Cement Ili Kukamlilisha Ujenzi wa Dodoma..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali ya mkoa wa Dodoma imeingia makubaliano na kampuni ya saruji ya Dangote kuuza saruji katika ujenzi wa miji mipya ya makao makuu ya nchi (Dodoma).

Akizungumza na waandishi wa habari mjini humo mara baada ya kufanya mazungumzo na Makamu wa Rais wa kampuni za Dangote Alhaaj Saada Ladan, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Jordan Rugimbana amesema kuwa Serikali ya mkoa wa Dodoma imeipa eneo kampuni hiyo ya Dangote kama eneo la bandari kavu, ambapo saruji inayouzwa nje ya nchi, zitauziwa kutoka Dodoma.

Alhaaj Ladan kwa upande wake aliishukuru serikali ya Tanzania kwa ushirikiano iliotoa kwa kampuni hiyo, huku akisema kuwa ikizingatiwa hata mji wa mkuu wa Nigeria Abuja, ulijengwa na wataalamu wa kitanzania, na hivyo hawana budi nao kutoa mchango wao kuijenga Dodoma.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dangote apewa tenda kuizia serikali cement kwa ajili ya ujenzi wa mji mpya wa Dodoma hainiigii akilini kulikoni apewe tenda hiyo heavy na serikali?Au mtawala tayari ameishakua percentage zake kibindoni?But the time will tell.......who's real faithfull and not

    ReplyDelete

Top Post Ad