Soma Hapa Ujue Mafaniko ya Trump Yakutie Hamasa Katika Maisha Yako Pia..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais wa 45 wa Marekan,Donald J Trump ni moja ya binadamu wenye mafanikio sana duniani, japo kisiasa watu wanaweza kumbeza lakini huyu ni mtu ambaye anajua maana ya mafanikio, wakati wa mahojiano yake kipindi ana anza kugombea urais alisema 'i always win, i am a winner" maisha yake japo yamekuwa na kupanda na kushuka yana rekodi mbali mbali, zifuatazo ni baadhi tu ya rekodi za Maisha ya bwana Trump.

Trump; mafanikio kama mfanyabishara na raia wa kawaida

1. Trump yuko kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha guinness, kwa kuwa mfanya biashara aliye wahi kufanya "biggest financial turnaround in history" , kwani Alikuwa bilionea aka filisika na kuwa na madeni yanayo fikia dola za marekani Bilioni moja, ali jikwamua na kurudi kuwa bilionea tena. Ni rekodi ya dunia hiyo

2. Trump pia yuko kwenye kitabu cha guiness kwa kuweza kufanya dili ya haraka ya zaidi iliyo husisha mamilioni ya dola, ambapo ali present plan zake kwa dakika tatu na wakakubaliana na bwana Ricardo Ballino kufanya dili hiyo ya pesa nyingi.

3. Donald Trump ni binadamu aliye fanikiwa kutoa hotuba na kulipwa pesa nyingi kwa saa, kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa akichaji dola za marekani milioni 1.5 kwa lisaa. Alikuwa akitoa semina za real estate expose.

3.Donald Trump, ni mmoja kati ya wamarekani 256 tu ambao ni mabilionea.

4. Dolad Trump, amefanikiwa ku pata heshima na tuzo mbali mbali kama mwana burudani, kama vile Hollywood walk of fame, kwa mchango kwenye burudani, na WWE hall of fame kwa mchango wake kwenye mchezo wa mieleka.

5. Ni mwandishi mbali mbali wa vitabu ambavo viliuza zaidi, kitabu maarufu kikiwa Art of the deal ambacho kiliuza zaid miaka ya 80, pia ni moja ya vitabu vitano vya juu kuuza zadi kwa kufikisha nakala milioni moja zilizo uzwa, kwa kizungu tuna seme best seller.

6. Donald Trump, amewahi kuongoza kipindi cha burudani namba moja kwa Amerika, ambacho ni the apprentice, kwa wale mnao kumbuka miaka ya 2005 tumeangalia sana hiko.

Trump;Rekodi za Siasa

1. Rais Tajiri kuliko wotee waliopata kuwepo marekani ana kadiriwa kuwa na utajiri wa usd bilioni3-5
2.Rais aliye shika madaraka akiwa na umri mkubwaa kuliko wote kwenye historia ya USA, alikuwa na miaka 70.

3.Rais pekee wa Marekani ambaye hakuwahi kuwa mwanasiasa au kiongozi mkubwa wa jeshi, haija wahi tokea hii.

4. Rais pekee ambaye amewahi kuoa zaid ya mara 2. Wenzetu hujali sana familly value talaka zikizid huwa ni ngum kuchaguliwa ila jamaa alipenya.

5.Trump ni mgombea pekee ambaye anadhaniwa alishindwa midahalo yote mitatu na akafanikiwa kushinda urais

6. Trump ni mgombea pekee katika miaka 40 kutoweka wazi malipo yake ya kodi na kushinda uraisi.

7.Trump ni mgombea pekee ambaye, pamoja na kuchukiwa kuliko wagombea wote kwenye historia ya marekani, bado alishinda uraisi(Alikuwa ana kubalika kwa asilimia 32 tu)

8.Trump ni mgombea pekee ambaye alipoteza kura za jumla karibu milioni 3 na bado alifanikiwa ku ukwaa urais wa Marekani.

9.pamoja na kupingwa na Rais, makamu wake, first lady, speaker , mawaziri, maseneta na viongozi wa chama chake woote, ni watu wa wili tu wa marekani waliowahi kufanikiwa kushinda vikwazo kama hivo na kuwa marais wa Marekani, Andrew Jackson 1828,na Donald Trump 2016.

Umpende au usimpende lazima tukubali kuwa Rais Trump ni moja ya binadamu ambao wamefanikiwa kwenye maisha yao.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad