BARCELONA Waichapa Madrid El Clasico..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Miamba ya soka ya Hispania klabu ya Barcelona, wameibuka kidedea katika mchezo wa El Clasico, kwa kuichapa Real Madrid kwa mabao 3-2.

Kiungo wa Kibrazil Carlos Henrique Casemiro, alifunga goli la kuongoza la Real Madrid kisha Lionel Messi, akakomboa bao hilo.

Ivan Rakitic akaiongezea Barca, goli la pili katika dakika ya 73 ya mchezo kabla ya mshambuliaji James Rodriguez wa Real Madrid, kuchomoa goli katika dakika ya 86.

Katika dakika ya 90 Lionel Messi, aliifungia timu yake bao la ushindi na hivyo timu yake inarejea kilele mwa ligi wakiwa na alama 75 huku madrid wakiwa katika nafasi ya pili kwa alama 75, 
wakitofautiana idadi ya magoli na Real wakiwa na mchezo mmoja mkononi.

Madrid walicheza pungufu katika mchezo huu baada ya beki wake kisiki Sergio Ramos, kupewa kadi nyekundu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad