KABULA Amchana Live Mr. Chuz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII wa kitambo kwenye anga la sinema Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemchana live mzazi mwenzie ambaye pia ni msanii mwenzake, Jumanne Kihangala ‘Mr. Chuz’ kwa kumtaka aoe, aache kutangatanga.

Kabula alimpa makavu hayo baba mtoto wake huyo baada ya Chuz kumtumia ujumbe wa kuwa amempata mwanamke ambaye anafanana na yeye hivyo atampelekea amuone ili kama anafaa afunge naye ndoa.

“Unajua Chuz mimi nashangaa umri unaenda sana sasa hivi anatakiwa aoe awe na mke maana kuna kipindi kinafi ka mtu unakua na unaacha kila kitu cha dunia nyuma kwanza halafu unaendelea, sasa Chuz sijui kwa nini hataki kubadilika?” alihoji Kabula. Hata hivyo, alipotafutwa Mr. Chuz hakutaka kuzungumzia suala hilo.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad