Hiki Ndicho Kilichotokea Baada ya Spika Kulitaja Jina la Sophia Simba..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai ametangaza rasmi kuwa kiti kimoja cha ubunge  Viti Maalum Wanawake kwa tiketi ya CCM kiko wazi kufuatia Mbunge wa nafasi hiyo Sophia Simba kufukuzwa uanachama wa chama hicho.

Kutokana na taarifa hiyo ambayo Spika wa Bunge amemjulisha Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, nafasi hiyo inapaswa kujazwa ambapo kwa mujibu wa Ibara ya 67 (1) (b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ili mtu ateuliwe au achaguliwe katika nafasi ya Ubunge ni lazima awe mwanachama aliyependekezwa na Chama chake husika cha Siasa.
Taarifa iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, imesema

"Kwa kuwa Ndg. SOPHIA MNYAMBI SIMBA amefukuzwa uanachama wa Chama kilichomdhamini, Ibara ya 67 (2) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaelekeza kuwa Mbunge huyo amepoteza sifa za kuteuliwa au kugombea Ubunge".

Taarifa hiyo imesema kuwa pia kuwa kutokana na kuwepo kwa nafasi wazi ya Ubunge wa Viti Maalum, taratibu za kujaza nafasi hiyo zinaendelea kwa kuzingatia kifungu cha 86A (8) cha Sheria ya Taifa
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. NINI KILITOKEA, TIYARI HAPO MTU KESHALIPIA BUNDLE AU GAZETI KUJUA NINI KILITOKEA, KWELI UDAKU NI UDAKUZI

    ReplyDelete

Top Post Ad