Imebumaaa..Madaktari 500 Kutoka Tanzania Wazuia na Mahakama Kwenda Kufanya Kazi Nchini humo..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Madaktari nchini Kenya, wamefanikiwa kuishawishi mahakama nchini humo kuzuia kuajiriwa kwa madaktari 500 kutoka Tanzania.

Madaktari hao walienda mahakamani kuizuia serikali ya nchi hiyo kutoa ajira hizo wakidai kuwa kuna madaktari 1,400 wasio na ajira nchini humo. Wamelalamika kuwa itakuwa ni ufujaji wa fedha kuwa na madakrari 500 wa Kitanzania watakaolipwa tshs 360,000 kwa siku. Mahakama ya kazi imetoa agizo hilo Ijumaa jii (March 31), ikisema kuwa litadumu hadi ombi la maofisa wa afya litakaposikilizwa na kuchambuliwa.

“That leave is hereby granted…to quash the decision of the government…to hire foreign doctors to be deployed to Kenya,” zimesema nyaraka za mahakama za March 31.

Mahakama hiyo imetoa siku 21 kwa serikali kuwajibu maofisa hao na suala hilo litatajwa April 19.

Mwezi huu Rais Dkt John Magufuli alisema kuwa Tanzania itapeleka madaktari 500 kukabiliana na uhaba uliopo na tangazo la nafasi hizo lilitolewa kuwataka wenye sifa kutuma maombi. Hata hivyo mpango huo umepingwa vikali na baadhi ya viongozi wa nchini humo akiwemo Raila Odinga, ambaye ni rafiki wa karibu na Rais Magufuli.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad