WATANZANIA Tuwe na Huruma, Tuwasamehe Bongo Movie

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Habari ya wakati huu wakuu.

Sisi watanzania tunafahamika kwa ukarimu na roho nzuri, upendo na kusaidiana, tabia ambayo mwalimu alitufundisha.

Lakini pia sisi ni watu wabaya sana kama mtu atatuudhi, kwa jinsi watanzania mlivyowawakia bongo muvie ni dhahiri kua hao watu wametukwaza sana.

Bongo movie wametuudhi na kutughadhabisha sana, katika mitandao yote inayofahamika hapa nchini na blogs naona ni kuwashambulia wasanii wa bongo movie.

Mimi niwaombe ndugu zangu, hawa ni ndugu na jamaa zetu, ni wanetu na wazazi wetu, kama ni watu wenye akili saaa watajirekebisha kwa jinsi walivyosakamwa iwa kazi yao mbovu na kujiingiza katika vita isiyowahusu ya kurubuniwa na DAB mtu ambae amekosa ile wataalam wanaita "moral authority" ya kukemea au kuelekeza lolote liwe baya au zuri kutokan na kukosa kuaminika.

Niombe, hawa watu kama wana akili watajirudi, najua wametambua makosa yao, naomba tuwasamehe tuwape nafasi nyingine vinginevyo tutawaua kwa msongo wa mawazo na msukumo mkubwa wa damu.

Imetosha, tumewasema vya kutosha, kila mahali ukifungua watu wanaponda tu hawa bongo movie, tuwahurumie ndugu zangu, wao pia ni watu wanafanya makosa kama sisi sote tunavyofanya makosa.

Ni hayo tu ndugu zangu.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad